Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza....
nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa
Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA
RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
Salaam wana-JF
Kama kuna mwenye ufahamu wa kinachoonekana kwa hii screenshot anisaidie ufafanuzi.
Kwanza hizi acronyms STP na TRV zina-maanisha nini. Ukizingatia hii ni kwa wale waliosoma nje ya nchi. Nimedhania labda ni Stipend na Travel allowances? of which nikilinganisha na pesa niliyopewa...
Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma?
====
Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu
Unafkiri kwa nini wanafunzi wanaolipiwa mikopo na Serikali kwenye vyuo vya Serikali wanazuiliwa kufanya mitihani ada ikichelewa, wakati ada inalipwa na Serikali?
Kwamba hawaamini kama watalipwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.