mkopo heslb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza.... nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
  2. J

    KERO RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
  3. Naomba kuelimishwa juu ya Mkopo wa elimu ya Juu

    Salaam wana-JF Kama kuna mwenye ufahamu wa kinachoonekana kwa hii screenshot anisaidie ufafanuzi. Kwanza hizi acronyms STP na TRV zina-maanisha nini. Ukizingatia hii ni kwa wale waliosoma nje ya nchi. Nimedhania labda ni Stipend na Travel allowances? of which nikilinganisha na pesa niliyopewa...
  4. Amehitimu form four mwaka jana na amechaguliwa kusoma diploma, je ana sifa ya kuomba mkopo HESBL?

    Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma? ==== Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu
  5. Kwanini wanufaika wa mikopo huzuiliwa kufanya mtihani ada ikichelewa wakati ada inalipwa na Serikali?

    Unafkiri kwa nini wanafunzi wanaolipiwa mikopo na Serikali kwenye vyuo vya Serikali wanazuiliwa kufanya mitihani ada ikichelewa, wakati ada inalipwa na Serikali? Kwamba hawaamini kama watalipwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…