mkopo mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

    Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe. Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto nakipata! Aloo najuta, sio kwa meseji hizo ninazotumiwa! Kwani nisipolipa watanifanya nini tofauti na...
  2. Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4. Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha...
  3. App zinazotoa mikopo mitandaoni zina riba kubwa sana, ukichelewa rejesho wanatuma SMS kwa namba zote ulizowasiliana nazo

    Kuna app za mikopo mitandao wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana. Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Moja ya hizo app ni PESA M LOAN. Tunaomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…