mkopo wa korea kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    Hizi taarifa za mkopo wa Korea Kusini mbona zina utata mwingi?

    Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America na Reuters vilio ripoti kama ilivyo nukuliwa hapo chini, akaja na Waziri wa uwekezaji na yeye...
  2. Chachu Ombara

    Waziri Mkumbo: Hakuna mkopo tuliowahi kupokea kwa kuweka rehani rasilimali zetu

    Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Dar es Salaam, Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewaondoa wasiwasi watanzania rasilimali za nchi ziko salama kabisa, zile habari zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ni uzushi Namnukuu “Taarifa ile ambayo ilisambaa...
  3. V

    Rais Samia kusaini matrilioni ya pesa za mikopo bila uwepo wa Waziri Fedha ni sawa?

    Nimepitia picha mbalimbali walizopiga viongozi walipotembelea Korea Kusini walikoenda kusaini mikopo sijaona Waziri wa Fedha na uchumi akionekana Je, kwa wataalaamu wa uchumi hili jambo ni sahihi? Mshauri namba moja wa Rais kuhusu mkopo ni Waziri wa Fedha, kwanini hajaenda yeye? Hili suala...
  4. Suley2019

    VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

    Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na kutafuta ufafanuzi wa kina wa taarifa ya mkopo huo kutoka Serikalini. Habari hiyo inaeleza: Serikali...
  5. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea. PIA SOMA - VoA...
  6. Mto Songwe

    Watu wa Asia Mashariki wana akili sana, tuwe nao makini

    Watu hawa wa East Asia:- i, Wakorea ii, Wachina iii, Wajapan. Wana akili sana. Sisi waafrika weusi hatuna akili nyingi sana, tuna akili ndogo tu za kawaida za kuvukia barabara. Ni muhimu sana kuwa makini juu yao pamoja na ufinyu wa akili tulizonazo. Tutambue kuwa sisi na wao hatupo sawa hata...
  7. Suley2019

    Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini. Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini...
Back
Top Bottom