Wadau hamjamboni nyote?
Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!
Ukweli ni kuwa
Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.
Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu .
Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao haikupaswa wasikie.
Unakumbuka kisa Cha Kipofu aliposikia vishindo vya watu wakipita, wakipita...
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu.
Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
Habari za leo?
Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani.
Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya...
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.
Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
Kijumbe mkorofi kazi yake ni kuwahadaa wana upatu kuwa leo zamu ya fulani.
Yaani kila memba anaambiwa zamu ya kupokea pesa ni ya fulani na ameshachukua.
Kumbe wote mmezungukwa kajilipa mwenyewe, atajilipa mwenyewe mpaka mambo yamzidie ndipo anaanza kujikongoja kuwalipa wanaupatu wenzake.
Hii...
Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt.
Kyambamasimbi Nina...
Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.
Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
Na Jerome Mmassy, Arusha
Moja ya changamoto jamii inayokumbana nayo nyakati hizi katika malezi na makuzi ya watoto ni watoto kuwa wakorofi na wasiotii kile wanachoambiwa.Na pengine wazazi ama walezi wamekuwa wakitamani sana watoto wao wawe kama wao walivyokuwa miaka ya 1970/1980.
Ni vyema...
Habar za saa hizi jameni...
Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in brief.
Nimejaribu kumsihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila...
Habari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.