Habari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi...