mkristo

Mkristo Eugene Bruce (born October 16, 1984) is a pilot, and a former American football defensive end. He was signed by the Miami Dolphins as an undrafted free agent in 2007. He played college football at Washington State.
Bruce has also been a member of the Oakland Raiders, Arizona Rattlers, Jacksonville Jaguars, and Florida Tuskers.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    biblia imesema wazi mtu ambaye sio mkristo haendi mbinguni. vipi kwa upande wa pili

    Biblia inaeleza hatma ya mtu asiye Mkristo kwa njia tofauti, ikizingatia imani katika Yesu Kristo kama msingi wa wokovu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho yake: 1. Yesu Kristo Ndiye Njia Pekee ya Wokovu Yesu alisema: "Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi"...
  2. Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

    Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani? Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hivyo kufunga...
  3. Aliyekuwa mbobezi wa Atheism, ageuka na kuwa Mkristo

    Huyo si mwingine bali ni C.S. Lewis C.S. Lewis, once a firm atheist, became one of the greatest Christian thinkers and writers of the 20th century. His journey from skepticism to faith was not emotional or blind—it was the result of deep intellectual reflection. Through his powerful books, he...
  4. Jifunze kutofautisha Mpagani na Mtu asiye na Imani: Ewe Mkristo, Ewe Muislamu hawa Watu tunaishi nao, wengine wana sifa za utakatifu zaidi yetu

    Katika mijadala mingi kuhusu dini na imani, kuna mkanganyiko mkubwa kati ya neno mpagani na mtu asiyeamini kabisa uwepo wa Mungu (atheist). Nimetumia neno wapagani kwenye kichwa cha habari ili kuvuta usikivu wako, lakini lengo la makala hii ni kufafanua tofauti kati ya makundi haya mawili na...
  5. Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

    Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+, Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa sas...,kutakuwa na wanasiasa wapya kabisa wenye confidence na ushawishi kulIko yeye,dalili zimeanza...
  6. Pastor Tony: Kwenda mbinguni sio kipaumbele cha mkristo, Pesa ndio kipaumbele

    Anasema ndio maana kitabu kinachohusu watu kwenda mbinguni (ufunuo) kimewekwa mwisho kwa maana sio kipaumbele cha Mungu. Kipaumbele cha mcha Mungu ni Hela au Pesa. Anasema hata ukimuita popote atatetea hoja yake. 👇👇👇👇👇 https://vm.tiktok.com/ZMkHPdmAq/ My take. Miaka ya mwanzoni mwa tisini...
  7. Ujue Mtazamo wa maombi kwa mkristo ambao utakufanya uwe mchapakazi na mtu wa vitendo vingi

    Isaya 65:24 Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu ameshakujibu tayari. Kwa hiyo, mfano ukitaka nyumba, badala ya kukesha na kufunga anza kuhulizia bei ya...
  8. Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

    Wakuu, Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola === Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"...
  9. A

    40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  10. Je unajua kwa nini Rais wa Lebanoni lazima awe Mkristo

    Taarifa za kuuawa kwa Katibu Mkuu wa Chama cha siasa Hezbollah cha Lebanoni, Sheikh Sayyed Hassan Nasrallah zimeitikisa dunia baada ya Jeshi la Israeli kutangaza kumuua na Hezbollah kuthibitisha taarifa hizo. Lakini kwa hapa Tanzania taarifa hizo zimepokelewa kwa hisia tofauti huku watu wengine...
  11. Ibrahim Lipumba na Zitto Kabwe wamejipa likizo, wanasubiri 2030 waibuke mafichoni?

    Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP ngangari kwa nginguri. Alivyoingia Kikwete madarakani CUF ikajifia hswakuwa na agenda tena ,maana lengo...
  12. Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
  13. M

    Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

    Habari zenu, Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume. Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri...
  14. Kwanini niliamua kuwa mkristo

    Sababu zilifanya mimi kuwa mkristo ni Wakristo kuamini watu wote ni wa Mungu bila kujali DINI, KABILA, UTAJIRI nk..... Wakristo wanaamini njoo kama ulivyo Yesu bado anakupenda. Hii ni kwamba, wenye dhambi, Waislam, wenye shida, yesu bado anawapokea. Kumpenda jirani yako kama wewe...
  15. Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  16. Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  17. W

    Natafuta mke mkristo miaka 30-41

    Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
  18. Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu. 1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma 2. Mavazi ya staha kwa wanawake Napenda sana dress code kwa wanawake...
  19. Sababu Tano kwa nini Mkristo upambane kushinda umasikini wa kipato?

    Karibu moja kwa moja, Umasikini wa Kipato namaanisha kutokuwa na kipato cha kuendesha mambo yako na kibaki cha ziada kwa ajili ya kusaidia wahitaji. Utajiri wa kipato ni kinyume chake. 1: Unasikini ni matokeo ya Laana. Torati 28 inataja laana za kujitenga na Mungu zote zinauhusiano na...
  20. Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

    Hapa Monduli, wanachinjwa ng'ombe wasio na idadi, mbuzi na kondoo kwa fujo. Wachinjaji ni wenzetu Wamasai, wanyama wanachinjwa kimila hamna kugeuziwa Quibla, wala MAKA, hamna cha Bismillah al-Rahman al-Rahim wala nini. Watu kama wamejitoa ufahamu wa mafundisho ya vitabu vitakatifu, ni mwendo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…