Watu wengi wakiwa watoto wanafanyiwa matukio ya kuumiza na kwasababu ya udogo wao wengi hupuuzwa au kuongezewa maumivu badala ya kushughulikia madhara yaliyoletwa. Kutokana na dhana iliyojengeka kuwa "Mkubwa hakosei" wazazi/ walezi wengi huwa hawaombi msamaha endapo amemkosea mtoto, na watoto...