Habarini wanajamvi
Katika pitapita zangu humu katika msitu wa maneno na majadiliano, nami ningependa wafikirisha jambo.
Wakati wote, tunaangazia safari nyingine ya NASA, nikakutana na andiko la kibepari (kiingereza) kuwa kuna uhusiano kati ya kishetwani, sisi wajuzi kuliko wao tunaita...