Wanabodi,
Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo.
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...