mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Inawezekana Wazungu ni wabaya, lakini ubaya tuliowavika ni mkubwa kuliko ubaya wao

    Tumia hali ya bara la Afrika na watu wake kupinga au kukubali.
  2. Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
  3. G

    Nchini Namibia, mshahara wa security guard ni mkubwa kuliko wa profesa UDSM

    Nchi ya Namibia imefanya mambo makubwa sana, mpk unajiuliza Tanzania tulikosea wapi siye? Nadhani tumefika hapa kwasabb ya siasa chafu na uongozi mbovu. Namibia ina rasilimali gani za kuizidi Tanzania hadi wao wawe mbali kiasi hiki? 1. Wazee wanalipwa. 2. Walemavu wanalipwa. 3. Matibabu kwa...
  4. Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

    Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni. Na Mungu atawabariki.
  5. Naona kama mkosi Mkubwa kwangu kuzaliwa jamii ya watu weusi

    Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na Mtanzania. Ni mambo ambayo kabla ya kuzaliwa kwangu kama ningepewa machaguzi hakika nisinge fikiri...
  6. Personal driver mwenye uzoef mkubwa, natafuta kazi

    Naitwa ernest ni personal driver mwenye uzoefu mkubwa Nimefanya kazi ya Uber sio chini ya miaka mi 4 Nina leseni yenye madaraja makubwa. Natafuta kazi ya udereva binfsi. Mwenye uhitaji naomba unipgie. 0783610244
  7. Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  8. DOKEZO Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

    Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa. Ni...
  9. S

    Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  10. Waliotoa Kibali cha kuua Mamba Mkubwa Duniani wafikishwe Mahakamani

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na Utalii. Mpina amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara tajwa kwa mwaka...
  11. Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii. Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
  12. Je, kuna mkubwa anambania Mwakinyo?

    Suala la kusema kuwa Rais wa WBO hajalipwa haiingii akilini maana mtu hawezi kutoka alipotoka hadi Tanzania kwa ajili ya mechi halafu awe hajalipwa. Baadhi ya wadau walisema Hassan Mwakinyo ana-ugomvi na watu wengi kwa hiyo wanambania kwa kumfanyia figisu figisu kama hizi. Je, unadhani ni nani...
  13. Kutana na kobe Jonathan mnyama mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani alitotolewa mwaka 1832

    Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba...
  14. D

    Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

    Asalaam, Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima. Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu...
  15. Weka kazi na kuwa na msimamo kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya kuonekana. Kwa bahati mbaya sana, wakati watu wanaanzia chini kabisa na kupambana kufanikiwa huwa hawaonekani. Lakini wakishafanikiwa, wanaanza kusikika na kujulikana...
  16. Mjadala East Africa Radio: Diamond ni mkubwa YouTube kuliko Jay Z

    Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube. Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
  17. Fanya kwa kusudi na ongozwa na malengo ili kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi. Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi wanakuwa wameagana na umasikini kabisa. Lakini ukweli ni kwamba hakuna utajiri mkubwa wa kudumu...
  18. Ni ngumu kuelewa ila anafutwa na icc ni marekani na sio netanyau na huenda huu ukawa mtego wa putin. Kuisambaratusha nato

    Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato. Ziko nchi tayali wameshaweka Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc. Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia...
  19. Utani gani umewahi kumtania mpenzi wako ikawa ndio sababu ya yeye kukuacha au kusababisha ugomvi mkubwa.

    Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
  20. Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

    Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi. Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…