George Huruma Mkuchika (born 6 October 1948) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Newala constituency. He is the current Minister of State in the President's Office for Good Governance.
Aisee tangu niko shule ya msingi Juhudi iliyopo ukonga magereza nasoma mpaka nimemaliza elimu uchwara za Bongo na kuingia mtaani hadi sasa nikiwa na miaka 27 hawa watu majina yao ni mheshimiwa waziri bla bla bla.....yani kwa lugha nyepesi wao ni mawaziri tu.
Kuna watu hapa Tanzania keki ya...
Wakuu...
Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi.
Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na kila Rais anayekuja madarakani hali ya kuwa vijana wapo na wanaweza kuchapa kazi vizuri tu.
Je...
Mheshimiwa Rais;
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano;
Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai, Kabudi na Lukuvi kwa kweli inabidi nikupe ushauri wa haraka.
Kwanza kabisa Hawa watu watatu hasa Kabudi...
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Tetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa.
Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri...
Ndugu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.
Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.
Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.