Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance.
TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO:
Soda drinks. Milo, cocoa, coffee
Energy drinks. Carbonated milk
Carbonated drinks. Kiti moto
Spirits...
Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine.
Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
Ukiona watu wanasema million ni ngumu kuikamata huku wengine wanaidaka kwa mkupuo Yani like simple hivi.
Waulize migodini, mabaharia, wazee wa kago, sema duh kuna watu wanapiga ela wewe na viten ten vyako utasubiri sana.
Badili mfumo wa kusaka maokoto Hakuna namna
Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne.
Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja.
Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
Serikali kupitia OR TAMISEMI inawajibu wa kuwaajiri walimu hususan wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo bila kujali masomo waliosoma.
Walimu hawa wengi wao wapo mitaani wakirandaranda huku na kule ili kuwezesha mikono yao iende kinywani.
KWANINI SERIKALI IWAAJIRI WALIMU HAWA KWA MKUPUO?
1...
Wanajamvi Habarini za wakati huu.
Napenda kufahamishwa kwa ajili ya ufahamu wangu na wengineo. Je kama umefungua madai NSSF ya special lumpsum benefit na status ikawa Approved na pia ukiangalia kwenye member's portal kwenye account yangu naona salio ni Zero na contributions zero na number of...
Haya madubwana ni hatari sana.....
UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger.
Sources say five US-made HIMARS missiles slammed into the squaddies who were gathered on a beach in the Kherson region.
7
Up to 200 of Putin's...
ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.
--
“Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
Jameni Afrika lini tutakua na mifumo kama patriot air defence, yaani Urusi imeshambulia Kyiv kwa aina tofauti ya mizinga zikiwemo drones, lakini zote zimepigwa chini....ama kwa kweli haya mambo bana...dah! Sayansi aisei
Mamayooo!! Shambulio la leo lingeelekezwa kwenye taifa lolote hapa Afrika...
Mitandao ya Warusi hakukaliki, bloggers wanatukana serikali hadi balaa, yaani jana wanajeshi 400 wameuawa kwa HIMARS, halafu drones 39 za Iran zilizotumwa kwa mkupuo kupiga uraiani zote zimeshushwa, hivi vita vinazidi kuwa mfupa mgumu kwa Warusi, vinatamausha...
Diamond amechukua vionjo vya ngoma ya Akili ze Brain inayoitwa Regina, akaenda kuomba kushirikiana na nyota mkubwa India mwenye mashabiki mabilioni na sasa kwa kutumia ubunifu wa Akili ze Brain na ustaa Jugni huko kwenye digital platform pesa zinaingia kila sekunde na ni nyingi zaidi ya matundu...
Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
Kwanini wastaafu huwa wanendelea kulipwa kila mwezi pesa kidogo kidogo baada kupewa kwa mkupuo kiasi kikubwa pindi wanapostaafu badala ya kupewa pesa zao zote ndani ya muda mfupi wa kustaafu kwao?
Hizi pesa za pensheni wanazopewa kila mwezi ni za kuganga njaa tu na huwa hawewezi kudunduliza...
Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi.
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1.
January ml 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.