Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dr. Richard Kisenge amesema kuwa kupitia huduma ya tiba mkoba inayotambulika kama (Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Service), tayari imifika karibia mikoa 16 nchini na kuhudumia watu takribani elfu 16,000 ambapo kati ya watu hao...