mkurugenzi mkuu who

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    Mkurugenzi Mkuu wa WHO 'alinusurika kifo' katika shambulio la uwanja wa ndege wa Yemen

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
  2. The Watchman

    Mkurugenzi mkuu WHO amlilia Faustine Ndugulile

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza kushtushwa kwake na kifo cha Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile. Dk Ndugulile aliyekuwa pia Mbunge wa Kigamboni, amefariki dunia usiku wa...
  3. Roving Journalist

    Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

    Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Katika Uchaguzi uliofanyika leo jijini Brazzaville nchini Congo, wajumbe 25 kati ya 46 wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO...
Back
Top Bottom