mkurugenzi tpa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kamishina TRA, Mkurugenzi Bandari watembelea Bandari ya Tanga

    KAMISHINA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Prasduce Mbossa Agosti 26, 2024 wametembelea bandari ya Tanga. Kamishna Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wamekubaliana kushirikiana kwa ukaribu zaidi ili kuongeza ufanisi kwenye shughuli...
  2. Suley2019

    Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  3. Lady Whistledown

    Mkurugenzi TPA: Bunge lina haki kuukubali au kuukataa mkataba wa DP World

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema Bunge la Tanzania lina haki ya kuridhia au kutoridhia mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari(IGA). Mkataba huo ulisainiwa Oktoba...
Back
Top Bottom