Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Chondechonde Mkurugenzi wa TCRA na Waziri mwenye dhamana (NAPE NAUYE) wananchi tumechoka na huu wizi na uhuni unaofanywa na kampuni za simu Tanzania.
Kwanza kabisa kampuni za simu hapa Tanzania wamekuwa wakituibia wateja kwa kutuunga kwenye huduma...