mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. "Mkeka" wa Rais Samia wamuondoa Mkurugenzi wa Bukoba

    Rais Samia Hassan Suluhu amemteua Jacob Simon Nkwera kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba. Kabla ya uteuzi huu, Nkwera alikuwa Afisa Mwandamizi, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa. Kutokana na uteuzi huo inamaanisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba...
  2. S

    DOKEZO Waziri Mchengerwa huyu mkurugenzi wa Tunduru, Chiza Marando na PS wake Prisca Nyoni wananyanyasa watumishi

    Waziri wa TAMISEMI huyu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru akishirikiana na personal secretary(PS) wake wanawanyanyasa sana watumishi hasa walimu. Huyu PS anaficha barua ya mtumishi hasa inayohusu uhamisho. Kuna mwl alipata uhamisho kutoka TAMISEMI mwaka jana alikaa na barua ya...
  3. S

    Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Mkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza...
  4. Nina shida na namba za mkurugenzi wa RITA

    Habarini Wana JF, Mimi nlikua nafanya kazi taasisi Fulani hapa Tanzania kwa bahati mbaya ikafutwa na maelekezo yakaja kwamba stahiki zetu tutapata baada ya Mkurugenzi wa RITA kukamilisha ufilisi na Sasa alishakamikisha na tukapewa fomu za kusaini tulipwe stahiki zetu ,Ilikua ni mwezi wa kwanza...
  5. Mkurugenzi TAMWA Zanzibar avitaka Vyombo vya Habari kuripoti kwa kina Mapungufu Sheria za Habari ili zifanyiwe marekebisho

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo. Akizungumza na...
  6. Bashe: Tumewalinda vya kutosha Wafanyabiashara wa Sukari, sasa wachague kuuza au kuacha, tunabadili Sheria

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0 Endelea kufuatilia kitakachoendelea... Zuhura Yunus: Rais Samia...
  7. Prof. Janabi ndiye Mkurugenzi productive kuliko wakurugenzi wote

    Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki. Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani. Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme...
  8. Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na Afisa Elimu

    Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu. Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi. Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa pesa zetu ambazo tulichangishwa na Kamati ya makande inayosimamiwa na Kamati kuu ya shule chini ya...
  9. B

    Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  10. Mwenezi Makonda Amtimua Mkurugenzi wa Nkasi Kwenye Mkutano Baada ya Wananchi Kumlalamikia

    Paul Mkaonda aendeleza moto wa kuwashughulikia Watendaji wababaishaji. Zamu hii amemtimua kwenye Mkutano Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi Baada ya Wananchi wengi Kumlalamikia Kwa madai mbalimbali. Makonda: Mwaka huu mtaota nywele πŸ˜†πŸ˜†. Kazi iendelee πŸ‘‡πŸ‘‡ https://youtu.be/9xYY1I5CxU8?si=nQs8d_rgnMpEideN
  11. Mkurugenzi wa TALGWU, Mhasibu na Mkuu wa Mikopo wafikishwa Mahakamani kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 133.5

    DAR: Watumishi 4 wa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Jackson M. Ngalama, Emmanuel G. Mdoe (Mhasibu), Pamela M. Sellemia (Mkuu wa Idara ya Mikopo), Timothy P. Mashishanga (Dereva) wamefikishwa Mahakamani kwa...
  12. Waziri Makamba ateta na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM), Amy Pope Jijini Roma, Italia. Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Makamba ameipongeza IOM kwa...
  13. Mkurugenzi wa Bandari ya Dar asema "Hali ni shwari Bandari ya Dar es Salaam, operesheni zinaendelea"

    Shughuli za kiuendeshaji katika Bandari ya Dar es Salaam zinaendelea vyema huku gati zote ndani ya bandari hiyo zikiendelea na shughuli za kupakia na kupakua mizigo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho wakati akitoa ufafanuzi kuhusu madai ya uwepo wa...
  14. J

    Aweso afanya mabadiliko ya watendaji maji Rufiji, amuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi Utete

    AWESO AFANYA MABADILIKO YA WATENDAJI MAJI RUFIJI, AMUONDOA KWENYE NAFASI YAKE MKURUGENZI UTETE. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya Kiuongozi katika Mamlaka ya Maji Utete kwa kumuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo bwana Christopher Mwigune akiwa wilayani...
  15. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama akalia kuti kavu kwa mara nyingine tena

    Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya mali za umma kwa kujinunulia gari kwa fedha ya umma nje ya utaratibu wa serikali. Kwa mara...
  16. Mkurugenzi TANESCO apewe Tuzo, umeme Unapungua haujawahi katika! CHAWA ni kielelezo cha vijana walio tayari kufanya lolote kwa Dhumuni!

    Umeingia ofisini saa 2 asubuhi, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme. Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja wako. Unafika nyumbani saa 1 kasoro unakuta hakuna umeme wanakuambia wamekata saa 12 jioni. Unajaribu...
  17. Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

    Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa. Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
  18. M

    DOKEZO Wakazi wa Muganza, Chato tunaomba TAKUKURU imchunguze Hakimu Mfawadhi Makama ya Wilaya Chato

    Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa. Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini...
  19. Aliyemuelewa Mkurugenzi wa TPA, Plasduce Mbossa atusaidie kufafanua hili

    "DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje ambaye tutakubaliana naye." - Mkurugenzi Mkuu TPA, Plasduce Mbossa
  20. S

    Mohamed Mchengerwa walimu Tunduru tumeshindwa kwenda likizo; Mkurugenzi, maDEO na maafisa utumishi wao wamejilipa na wameenda likizo

    Mh.waziri wetu wa TAMISEMI sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tuli-submit maombi yetu ya kwenda likizo ya malipo mwezi wa 11 mwanzoni. Ilikuwa tuende likizo kujiunga na familia na ndugu zetu ktk sherehe za mwisho wa mwaka huu. Tunasikitika kukueleza kwa masikitiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…