mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nawapa pongezi Mkurugenzi na Wafanyakazi wa TANTRADE kwa kujitahidi kuendana na kasi ya Dunia kutangaza fursa

    TANTRADE ni moja ya taasisi ambazo kwa kiasi kikubwa imeweza kuendana na mahitaji ya biashara kwa Dunia ya sasa. Wameondoka kuendesha maonyesho ya sabasaba na sasa wanaangalia fursa za maonyesho nje na kuwapa opportunity hata wale ambao wanashindwa kuvuka mipaka kupeleka bidhaa zao. Uimara wa...
  2. Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali

    Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali ya gari Njombe Mwalimu Furaha Msule anayefundisha shule ya Sekondari Kidegembye iliyopo Lupembe halmashauri ya wilaya ya Njombe amesimamishwa kazi kwa kosa la kuwachukua wanafunzi na kuwapeleka kupakia...
  3. K

    Kweli Mkurugenzi Jiji la Mwanza hatambui maagizo ya Waziri Mkuu!

    Kati ya Waziri Mkuu na Mkurugenzi wa Halmashauri nani mkubwa? Kweli Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anadiriki kusema kuwa hatambui maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa yeye anatambua maagizo ya Mkuu wa Mkoa?. Huyu Mkurugenzi hafai kuendelea kukalia kiti hicho na anatakiwa kuomba radhi na kujiondoa...
  4. U

    Nashari usikubali Kuteuliwa kuwa Mkurugenzi au DC ni mtego

    Katika nafasi ambazo zimepoteza mvuto Serikalini ni Nafasi ya Ukuu wa Wilaya na Ukurugenzi wa Halmashauri, ni Nafasi ambazo Sasa zimeonekana kana kwamba si za kudumu na muda wowote unatolewa, mtu unaweza kuwa Mkurugenzi katika nafasi mbalimbali katika mashirika ya umma Kwa miaka 10, 8, 7 ila...
  5. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sumbawanga kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwachukulia hatua watumishi wote waliobainika kusababisha changamoto kwenye miradi inayotekelezwa Sumbawanga akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo Jacob Mtalitinya...
  6. Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  7. Mkurugenzi TAMWA ZNZ ataka Vijana, Wanawake kujiamini kugombea nafasi za uongozi

    MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amewashauri wanawake kujiamini na kuondosha woga wakati wa kugombea nafasi za Uongozi ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Dkt. Mzuri ameyasema hayo akifungua mafunzo ya siku mbili ya...
  8. K

    Kati ya Waziri January Makamba na Rais Samia, nani alimteua Maharage kuwa Mkurugenzi Tanesco?

    Salam wakuu. Naomba kwanza kupandisha clip ya January Makamba akiwa Waziri wa Nishati na pia kuweka barua ya Ikulu ya teuzi. Baada ya kumsikiliza January Makamba na kurejea barua ya Ikulu, je ni nani haswa alihusika na anahusika na hizi teuzi zinazotangazwa kutoka Ikulu? Kwa sasa tumeona...
  9. Ushauri: Dr Ayub Ryoba awe Msemaji Mkuu wa Serikali, Salim Kikeke awe Mkurugenzi Mkuu TBC

    Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC...
  10. D

    Maharage Chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea TANESCO

    Amini amini nawambieni! Tangu shirika hili lianzishwe lilikuwa halijawahi kupata mkurugenzi mwenye akili kama MAHARAGE! Siyo kwamba alikuwa bora asilimia 100% HAPANA! lakini kwa UBOVU wa shirika lenyewe angalau maharage amekuwa mkurugenzi wa kwanza kuliboresha kiutendaji japo kwa asilimia...
  11. Waziri Mkuu amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza na Mwekahazina wa Halmashauri

    Kufuatia maelekezo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) ya kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, Zainab Mbunda na Mwekahazina wa Halmashauri hiyo Majid Mabanga, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
  12. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano asimamishwa kazi kwa Kujikopesha Tsh. Milioni 460

    Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha za Akiba za Mradi wa Nyumba za Wafanyakazi. Ripoti ya Kamati Maalum ya Ukaguzi na Kamati ya Dharura...
  13. Mahakama yaamuru Dar es Salaam Cement Co. Limited kulipa Fidia ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza kazi Mkurugenzi wake

    Mahakama Kuu imewaamuru ndugu wawili na wakurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Dar es Salaam Cement Co. Limited kumlipa mwenyekiti wao na Mkurugenzi Mtendaji, Pardeep Hans, zaidi ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza katika kampuni hiyo kinyume cha sheria na kuiuza kwa Kampuni ya Amsons Industries (T)...
  14. Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa ZANROADS na Kamishna wa Idara ya Bajeti

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS), Makame Ali Makame pamoja na Kamishna wa Idara ya Bajeti, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saumu Haji.Utenguzi huo ni kuanzia leo Septemba 12, 2023.
  15. Kuelekea Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Waziri Bashe aelezea msimamo wa Serikali kuhusu GMO

    Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam ukishirikisha Wadau mbalimbali wa Kilimo, leo Jumapili Septemba 3, 2023. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na...
  16. K

    Kwanini mkurugenzi mkuu mpya WA EWURA tangia ateuliwe kwanini mafuta yamekuwa yanafichwa hapa nchini?

    Tangia mme WA TULIA Acksobi kuteuliwa kuwa mkurugenzi WA EWURA sakata la mafuta limekuwa Shida.Je kwanini Bunge lismuazimie nlmkurugenzi husika kuondolewa Kwenye nafasi huska
  17. Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿 Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake). Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
  18. Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

    Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi. Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za...
  19. Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa...
  20. Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

    Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani. My Take: Tuendelee kupambana! ========= Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…