Mheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
Pia soma Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited
Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi.
Wasifu wake unajitosheleza tofauti na wengi ambao wakipewa nafasi hii possibility ya kuboronga ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.