Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 2, leo Aprili 3, 2024 Jijini Dodoma.
https://www.youtube.com/watch?v=O1YezC6BSRo
Mrisho Gambo, Mbunge wa Arusha ameuliza "serikali ina mpango gani ili bei ya petroli na dizeli iwe moja Nchi nzima?"
Naibu Waziri Judith Kapinga...