Tukiwa katikati ya mtanange mkali wa kidemokrasia wa CHADEMA ambao umetoa usawa na fursa kwenye kugombea nafasi mbalimbali hivo kuibua vipaji vipya vya uongozi; CCM waliibuka na wao Dodoma kwenye mchakato wao wa kutafuta makamu mwenyekiti wa chama.
Kwa mbwembwe za msururu wa magari mapya...
“ Maendeleo hayana Chama “ by John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, picha yake ni miongoni mwa picha zilizopo katika mabango ya CCM hapa Dodoma.
Hakika Mbowe anapendwa mpaka na chama tawala. Hii ni kubwa sana