Wakuu,
Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.
Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh:
Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu...
Wakuu
Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.
Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa...
Wakuu Mambo ni Mengi mno na Muda ni Mchache, lakini niwaombe sana kutegea sikio Mkutano huu, Hakika mtapigwa na Bumbuwazi.
Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari kesho tarehe 17 Oktoba 2024 saa tano asubuhi, Makao Makuu ya Chama...
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo hii kinafanya Mkutano Mkuu Maalum Jimbo la Mjini Morogoro.
Kuna Chaguzi kadhaa za Viongozi wa Jimbo pamoja na Mabaraza ya Chama , kwa maana ya Bavicha , Bawacha nk.
Hali ya Ukumbi ndio kama mnavyoiona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.