Nimeona video inasambaa mtandaoni ikimnukuu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akisema kama unataka kujiunga na chama cha wadhulumaji, wizi wa kura, ulaji wa rasilimali za Taifa, giza na rushwa, ingia CHADEMA.
Nimeshituka sana kusikia maneno haya kutoka kwa Mbowe. JamiiCheck tusaidieni...