mkutano maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. "Sykes, Sykes, Sykes" Ndani ya Mkutano Maalum wa CCM Dodoma

    Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini: "Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes." Nadhani alikuwa kachoka. Kila ninapoandika historia ya uhuru wa Tanganyika Sykes hawakosekani. Kwa hakika...
  2. Serengeti: Mkutano Maalum wa CHADEMA Watikisa

    Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL) sasa hapa chini ni Mkutano Maalum wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti , hebu jionee mwenyewe .
  3. Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  4. Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia tarehe 03 Januari 3, 2024 (kipindi cha pili)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  5. Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  6. Ufunguzi wa Mkutano maalumu wa baraza la Vyama vya Siasa 03 Januari 2024

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  7. Kufunga mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa - tarehe 3 na 4 januari, 2024 (Mgeni Rasmi: Doto Biteko)

    KUFUNGA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Doto Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion Centre - Dar...
  8. Ufunguzi wa mkutano maalum wa baraza la vyama vya siasa

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  9. Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024

    MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani
  10. Picha: Rais Samia Ashiriki Mkutano Maalum wa Dharura SADC

    Picha mbalimbali Rais Samia Suluhu akishiriki mkutano wa dharura kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola leo Novemba 4, 2023. Pamoja na mambo mengine, mkutano huo unajadili juhudi za SADC katika kuimarisha amani, ulinzi na usalama Mashariki...
  11. Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…