Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna...
Baada ya CCM kumchagua ndugu Stephen Wassira kurithi kiti cha Kinana. Ameanza kutoa kauli ya kutaka kufanyakazi ya mwanzo kabisa ya maridhiano.....
CCM inadhani kuwa ikishakaa na CHADEMA wakaridhiana wanakuwa wameridhiana na taifa. Mimi nawakikisha Watanzania huru ambao hawaamini kwenye mbanga...
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu,
Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka .
Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.