Makada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) George Sanga, Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela walivyopokelewa kwa shangwe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Mlimani City Dar Es Salaam.
Wote watatu kwa pamoja walikuwa wakituhumiwa kwa mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
Wakuu
Kitaalam tunaiitaje hii?
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na Boniface Jacob, ambaye ni wakala wa mgombea Freeman Mbowe, wakati wa uhakiki wa wajumbe katika mkutano...
Wakuu,
Sarakasi za Uchaguzi wa CHADEMA zinaendelea kuwa moto.
Akiwa anaongea siku ya leo, moja ya mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA aliyrjitambulisha kama Wilfred Alfred Mgina amesema kuwa amenyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi na nafasi yake kupewa mtu mwingine.
Wilfred amesema...
LISSU STUKA!
Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu, wajumbe wajisomee wenyewe.
Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.
Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.
Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya...
Kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa, DSM;
Nimeshitushwa sana na X-Twit hii ya Askofu Mwamakula...
Je, kweli mambo yako hivi..?
MASWALI KADHAA YA KUJIULIZA:
1. Nani anafanya hivi miongoni mwa wagombea?
2. Kwanini anafanya hivi kujilazimisha kuwa kiongozi?
3. Huyu mtu...
Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana.
Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe.
Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025
Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani ya Januari 2025 sasa ni wazi kwamba busara kongwe za wanazuoni zitaanza kutimia.
Wanazuoni wengi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila zingatia ushauri huu
Mlimani City ni eneo la Uwekezaji hivyo kufanya Mikutano ya Kisiasa yenye viashiria Vya vurugu na umwagaji Damu siyo Sawa
Hatuna Bima ya Vurugu
Mwagito Chalamila utanishukuru baadae 🐼
https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP
Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu.
Ukipewa rushwa kula ila kamwe usiuuze chama kwa vipande vya pesa.
Je,
hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini?
Au,
hawakubaliki wala...
==
Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu,
Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema...
Tundu Lissu mwanaharakati na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu anapambana kukalia kiti cha Mwenyekiti Chadema Taifa
Molemo Media imefanya utafiti maeneo mbalimbali nchini kwa wajumbe wa mkutano mkuu kutaka kufahamu mwelekeo na mtazamo wao kuelekea mkutano Mkuu wa uchaguzi Januari 21
Tundu...
Tayari wagombea uongozi wa nafasi mbalimbali za chadema taifa na wajumbe wa mkutano mkuu wameanza kushikana, uchawi, kulaumiana na kutuhumiana kufanyiana ushirikiana kuelekea katika chaguzi za BAVICHA, BAWACHA, BAZECHA na ule uchuguzi wa kamati tendaji ya chadema taifa utakaonza mapema mwezi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.