mkutano mkuu wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Ijue Katiba ya CCM: Malengo ya CCM, Nguvu za CCM, Vikao vya CCM, na Mamlaka ya Mkutano Mkuu wa CCM, Uamuzi Wake ni wa Mwisho!, Final & Conclusive!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
  2. S

    Kada wa CCM: Mkutano Mkuu wa CCM hauna mamlaka ya kuvunja kanuni zake

    Habari ndio hio! https://youtu.be/50jLdDcptGc Mwingine huyu(Kijana Mzalendo) ndio kabisa kawavua nguo na anasema wanatakiwa warudie na kwamba kuna fukuto kubwa. Kaongea mengi sana huyu bwana ikiwemo kutafuta wadhamini bara na visiwani jambo ambalo halikufanyika. Mimi mwenyewe sio...
  3. Camilo Cienfuegos

    Mbona walinzi wa Samia hawakuvaa sare za chama juzi kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?

    Enzi ya awamu ya tano, aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm John Magufuli, walinzi wake walikuwa wakivaa sare za chama hiko kwenye mikutani na shughuli za chama hiko. Lakini kwasasa ni tofauti, kwa siku mbili mtawalia, sikuona walinzi wa Samia wakiwa na sare za chama, je mambo yamerudi kwenye...
  4. Pulchra Animo

    Kikatiba na Kikanuni, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM 2025 Wamesigina Haki za Wanachama wa CCM Kwa Kufanya Uteuzi wa Wagombea Urais Bila Notice!

    Haki ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) kiongozi ni haki ya msingi ya kila mwanachama wa CCM. Haki hii ni ya kikatiba na kikanuni. Kwa kawaida, watendaji wa chama hutangaza kufunguliwa rasimi kwa dirisha la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu za kuomba kugombea nafasi za uongozi (kama vile...
  5. Mohamed Said

    Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  6. C

    Walichokifanya CCM Mkutano Mkuu ni uchaguzi, Uteuzi au kuthibitisha Uteuzi? Hivi hiki kilichofanyika

    Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ? Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini? Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
  7. Mafyangula

    Kesho mambo makubwa ni mawili tu hapa nchini Tanzania. Mkutano mkuu wa CCM na Mechi ya Yanga kufuzu robo Klabu bingwa

    Bandugu! Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu. Lakini sambamba na hilo ni Mkutano Mkuu wa CCM pale Dodoma makao makuu ya Nchi. Tutapomfahamu Makamu...
  8. Christopher Wallace

    Pre GE2025 Picha ya Mbowe ni miongoni mwa picha zilizopo kwenye mabango ya CCM kuelekea Mkutano Mkuu

    “ Maendeleo hayana Chama “ by John Pombe Magufuli. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, picha yake ni miongoni mwa picha zilizopo katika mabango ya CCM hapa Dodoma. Hakika Mbowe anapendwa mpaka na chama tawala. Hii ni kubwa sana
  9. ESCORT 1

    Mkutano Mkuu wa CCM mwaka 1997, unamkumbuka nani pichani?

    Hapa ni Dodoma, katika mkutano mkuu wa ccm mwaka 1997. Umemtambua mjumbe gani pichani?
  10. milele amina

    2025: Ombi kwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Mkoa wa Kilimanjaro

    Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kutoka wilaya ya Hai, Kilimanjaro, tunakuomba kwa dhati unapotembelea Dodoma kwa ajili ya mkutano huo, tafadhali usitoe kitamu chako kwa wanaume. Kila mwaka unaposhiriki kwenye mkutano huu, umeonekana ukigawa bure, jambo ambalo linaweza kuwa na athari kubwa...
  11. Cannabis

    Kuelekea Mkutano Mkuu maalum wa CCM, Dodoma yageuka kuwa kijani tupu

    Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma. Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
  13. Erythrocyte

    Pre GE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

    Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
Back
Top Bottom