mkutano wa berlin na mustakabali wa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mkutano wa Berlin ulioamua mustakabali wa Afrika bila Waafrika kushirikishwa

    Kati ya Novemba 1884 na Februari 1885, wawakilishi wa mataifa 14 walikutana mjini Berlin, Ujerumani, katika mkutano ulioitishwa na Kansela Otto von Bismarck. Mkutano huo ulijadili masuala ya biashara, usafiri wa majini katika mito ya Congo na Niger, pamoja na kuweka kanuni za mataifa ya Ulaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…