Katika kikao chake cha Nane (8), mkutano wa 18, leo Februari 7, 2025 wabunge watapokea, kusikiliza, kujadili na hatimaye kupitisha au kukataa taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu.
Kamati hizo ni ile ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na ya Maji na...