Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.
Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari...
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Hakika CCM ni chama kubwa sana.
Lakini ninawaza tu kuwa:
1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika
2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu.
Gharama za wasanii:
1. Usafiri
2. Malazi
3. Chakula
4. Posho
Ninajua hizo...
Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo katika comedy style kuliko kuripoti mambo ya msingi
Vyombo vya habari vinaripoti magari ya CCM...
Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana.
Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu
Si mbaya tukayasahihisha
Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma
ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025
Naamini tutaona tofauti
Thx
Wakuu,
Kwahiyo ili kujustify zuio la mikutano ya CHADEMA mkaona mtufanyie haya maigizo ya kuzuia mkutano wa CCM!:rolleyes::rolleyes:
CCM na Polisi hivi mnafikiri wananchi hawa wa leo ndio wale wale mliozoea kuwaendesha kipuuzi kama ng'ombe miaka nenda rudi? Yaani mnakuja na mbinu za kipuuzi...
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano iliyotarajiwa kuongozwa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makala...
Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo
Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera.
Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
Nimepita viwanja vya Tanganyika packers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo.
Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM...
SHINA NO 7 - KISING’A -IRINGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 30 Mei 2023 amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa CCM kata ya Kising’a Jimbo la Isimani Shina No 7 kwa Balozi Rose John
Pamoja na mambo mengine Ndg Chongolo ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.