Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kusema Tanga ni Ngome ya CCM, Labda awe mwehu.
Tathmini iliyofanywa na Mtandao huru wa Erythrocyte.com...