Tumeishasema tangu awali humu JF na kwingineko kwamba, kwamba tayari ccm ishateketezwa Tarime, hili hakuna anayepinga, Sasa hivi kinachofanyika ni kukusanya mabaki na kuyapiga kiberiti.
Hapa ni Sirari leo hii kwenye kampeni kabambe ya kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye Daftari la Uchaguzi...
Hivi ndivyo unavyopaswa kufahamu ili usipitwe na wakati, hakuna tena ccm Tarime, hii ni baada ya John Heche kuiteketeza kabisa, Wamebaki Polisi tu.
Naomba nifupishe mada, Maana kwa sheria za dini ni dhambi sana kumjadili Marehemu.
Ushahidi huu hapa, Hiki ni kijiji cha Borega, Kata ya Ganyage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.