Kwa Mujibu wa Ratiba ya Mikutano ya hadhara iliyotangazwa na Chadema kanda ya Nyasa , Leo ni zamu ya Tunduma.
Labda kwa wageni na wenyeji wasahaulifu ni kwamba , Jimbo la Tunduma ni miongoni mwa majimbo machache yaliyokombolewa muda mrefu kutoka kwenye makucha ya utumwa wa ccm , huku...