Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)". Wakati jumuiya ya kimataifa, ukiwemo Umoja wa Mataifa, ikipongeza kujumuika tena kwa familia za China...
Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC umefunguliwa leo tarehe 5 hapa Beijing, ambapo rais Xi Jinping alitoa hotuba akitangaza kuinua uhusiano kati ya China na nchi zote za Afrika zenye uhusiano wa kibalozi kwenye ngazi ya kimkakati, na uhusiano kati ya China na...
Serikali ya Rais Xi Jinping imeahidi kutoa takriban Dola za Marekani Bilioni 50 (zaidi ya Tsh. Trilioni 139.39) kwaajili ya kufadhili shughuli mbalimbali za Ushirikiano wake na Mataifa ya Afrika.
Kupitia Mkutano wa Wakuu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), uliohusisha...
Jopo la washauri bingwa la Afrika Kusini Ichikowitz Family Foundation hivi karibuni imetoa “Ripoti ya Uchunguzi wa Vijana wa Afrika (mwaka 2024)”, ambayo liliwahoji zaidi ya vijana 5,600 wenye umri wa miaka 18 hadi 24 katika nchi 16 za Afrika, ikiwa ni pamoja na Afrika Kusini, Ethiopia, Kenya na...
Mkubwa wa taarifa za kinakuhusu miradi ya makubaliano na kukosekana na nyenzo za kufuatilia na kupima maendeleo ya ahadi zinazotolewa katika mikutano hii.
Wachambuzi wengi wanaonya kwamba usiri huu unaondoa shauku ya vitu mahsusi vya kufuatilia katika mkutano huo kiasi kwamba mijadala mingi...
Nimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU. Kwanini kampeni ifanyike China? 🐼
---------
- Rais Samia kuhutubia kwenye Mkutano wa FOCAC nchini China
Kweli watu wana ajenda zao....
Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la kimaendeleo kati ya AFRIKA na CHINA....
Hivi kweli unaweza kutuonyesha MKUTANO WA MAMBO YA KILIMO...
Ada ya wastaarabu ni kupongeza mazuri na kwa wafanyao mazuri.
Nimewiwa kumpongeza sana Balozi wetu wa zamani nchini China ,mh.Mbelwa Kairuki- 2017-2023 (sasa balozi Uingereza) kwa maono yake makubwa , ya mbali na uzalendo wake adhimu juu ya taifa letu.
Sababu za kumpongeza Mh.Mbelwa Kairuki...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi Wakuu wa nchi za Afrika na China, mkutano unaotarajiwa kuanza Septemba 4-6, 2024 nchini China.
Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) leo Jumanne, Septemba 3, 2024.
Pia soma:
Je, ni kwa jinsi...
Mkutano wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC utafanyika Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6. Hii itakuwa ni mara ya nne kwa Baraza hilo kufanya mkutano wake kuwa wa kilele, ambapo China na Afrika zitapanga kwa pamoja mwelekeo wa maendeleo ya ushirikiano wa siku zijazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.