Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan ametoa hotuba ya kihistoria kwa kuuliza maswali magumu katika mkutano wa G20, ambapo akiwa anasikilizwa na Rais wa Marekani, Joe Biden, Rais wa China, Xi Jinping, Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer na viongozi wakuu wa nchi hizo 20 tajiri, ametaka dunia...
Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu
Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki
Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini...
Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa...
Rais Dkt. Samia akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20.
Pia, Soma: Rais...
Tanzania imealikwa Kuhudhuria Mikutano wa G20 huko Brazil ambapo Rais Samia ataiwakilisha Nchi kuanzia baadae mwezi huu.
Hii inakuwa ni mara ya kwanza Kwa Tanzania kualikwa kwenye G20 na mara ya pili kualikwa kwenye ngazi kubwa ndani ya kipindi chake kwani Aliwahi alikuwa kushiriki mikutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.