Mkutano wa kilele wa G7 umefungwa hivi karibuni huko Puglia nchini Italia. Taarifa iliyotolewa baada ya mkutano huo kwa mara nyingine tena imekashifu China katika masuala mbalimbali bila ya msingi wowote. Kuhusu migogoro kati ya Russia na Ukraine na kati ya Palestina na Israel, msimamo wa kundi...