mkutano wa hadhara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  2. Waufukweni

    Kilwa: Jeshi la Polisi lapiga marufuku Mkutano wa Hadhara wa ACT Wazalendo kwa Sababu za Kiusalama

    Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo uliotarajiwa kuhutubiwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu ambao ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Maalim Seif Garden, Kilwa Kivinje, mkoani Lindi leo, Ijumaa Desemba 06.2024 umepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kwa kile kinachoelezwa kuwa...
  3. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda

    Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na mkutano mwingine wa chama hicho uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi huu Novemba. Kulingana na barua...
  4. Bob Manson

    Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

    "OCD wa Tanga mjini nimemwambia Taarifa yetu ya Mikutano ya Hadhara tuliyowapa ina mikutano kuanzia Tar 10 hadi 24 Sep. Nikamwambia sisi tutaendelea na mikutano yetu 21 na 22 kwa kuwa HAIJAZUIWA. Jibu lake kwangu akaniambia wewe nitahakikisha namaliza huo mguu uliobaki. "Nimemwambia wacha mguu...
  5. figganigga

    Mwanza: Luhaga Mpina na Hussein Bashe uso kwa uso kwenye mkutano wa hadhara

    MWANZA; Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amekutana na Mbunge wa Jimbo la Kisesa, wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina kwenye mkutano unaoendelea katika Mji wa Mwandoya Jimbo la Kisesa. Juzi akiwa wilayani Igunga mkoani Tabora, Waziri Bashe, alisema atafanya ziara katika Jimbo la Mbunge...
  6. P

    KWELI Polisi wamezuia mkutano wa hadhara wa CHADEMA Ngorongoro

    Wakuu, Nimeona hii taarifa huko X kuwa polisi wazuia mikutano ya hadhara ya CHADEMA imezuiliwa, je ni kweli?
  7. iamwangdamin

    Mbunge Ummy afanya mkutano wa hadhara kata ya nguvumali.

    #OdoUmmyJimboni #SamiaMitanoTena ---- MBUNGE UMMY AFANYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA NGUVUMALI. Mbunge wa Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu tarehe 27/07/2024 amefanya Mkutano wa hadhara kata ya Nguvumali kwa ajili ya kueleza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha 2020 - 2025...
  8. USSR

    Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo. Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia azungumza na Wananchi kwenye mkutano wa Hadhara viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mkoani Katavi, leo Julai 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi kwenye mkutano wa Hadhara katika viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 13 Julai, 2024. https://www.youtube.com/live/fmehOWpyzMc?si=-SYQUW-soIhB1Eby
  10. Erythrocyte

    Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

    Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote. Hali ilikuwa hivi
  11. JanguKamaJangu

    Polisi Jamii Malima aliyetajwa na JamiiForums kuwa anatumia madaraka vibaya, asimamishwa kazi

    https://www.youtube.com/watch?v=_fJw7MIsJZk Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai Polisi Jamii Kata ya Nala, Yohana Nyagalu “Malima” kutumia Madaraka yake vibaya ikiwemo kunyanyasa na kudhalilisha Wananchi, Jeshi la Polisi limechukua hatua ya kumsimamisha Askari huyo kwa muda wa...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia afanya Mkutano wa Hadhara, Ruangwa mjini, leo Septemba 18, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara - Ruangwa Mini leo tarehe 18 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/n2bRFA5-Vtw?si=EaD4yvTy59ujimsi === Rais Samia amesema kuwepo Ruangwa ni mwendelezo wa ziara yake ya...
  13. D

    Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Shonza Afanya Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Songwe

    Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Songwe Kata ya Magamba na kufanya Mkutano wa Hadhara na kuchangia kikundi vya wanawake wajasiriamali katika shughuli zao za kiuchumi. Mhe. Juliana Shonza akiwa Kata ya Magamba Wilaya ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jafari Chege Afanya Ziara na Mkutano wa Hadhara katika Kata ya Kitembe

    MHE. JAFARI CHEGE WAMBURA AFANYA ZIARA NA MKUTANO KATIKA KATA YA KITEMBE Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Chege Wambura ameanza ziara rasmi na kufanya Mkutano wa kwanza katika Kata ya Kitembe Wilaya ya Rorya "Wakati nawaomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Rorya mwaka 2020...
  16. Zanzibar-ASP

    WanaCCM Arusha wamtaka Mrisho Gambo naye aitishe mkutano wa hadhara kujibu mapigo ya Lema

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara. Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
  17. ChoiceVariable

    Mkutano wa hadhara wa CHADEMA Sumbawanga ulikuwa wa kumpamba Mbowe kugombea Uenyekiti

    Hello 👍👍 Jana CHADEMA walikuwa na Mkutano wa Hadhara Sumbawanga, cha ajabu Mkutano ulikuwa wa Kumpamba Mbowe Ili aendelee kuwa Mwenyekiti na kwamba anatosha huku wakiacha kunadi sera zao. Mbowe naye kama kawaida yake aliishia kumponda na kumtukana Mwendazake Kwa kile alichoita kwamba anatokea...
  18. Mbunge Afrika Mashariki

    CUF-Chama Cha Wananchi, Taarifa kwa umma kuhusu mkutano wa hadhara kesho Magomeni Kanisani

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
  19. M

    Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano, Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
  20. Erythrocyte

    Siku tatu kabla ya Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA, Mwanza yote inazizima

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa...
Back
Top Bottom