MWANZA; Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amekutana na Mbunge wa Jimbo la Kisesa, wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina kwenye mkutano unaoendelea katika Mji wa Mwandoya Jimbo la Kisesa.
Juzi akiwa wilayani Igunga mkoani Tabora, Waziri Bashe, alisema atafanya ziara katika Jimbo la Mbunge...