Kwa kweli, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kitendo cha marais wa Afrika kuiamini Tanzania na kuja kufanya mkutano ni dhamana kubwa sana ambayo alikuwa nayo Amiri Jeshi Mkuu.
Tuache chuki, tofauti zetu tuzizike, tumpe maua yake Mheshimiwa Rais kwa kuwa mwenyeji wa mkutano huu mkubwa...
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
My Take
Hii mikutano iwe inapelekwa Arusha na Zanzibar ndiko hakuna uhaba wa Hoteli,hapo Dar kumejaa ma Bar na Hoteli za Kawaida ambazo Hazina hadhi ya Kimataifa.
==
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha mkutano wa wakuu wa nchi za...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.
Kafulila ameyasema hayo wakati...
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akikagua mabanda ya hospitali maalum zilizotengwa kwa ajili ya kuhudumia wageni wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) unaofanyika kwa siku mbili katika Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao wakati Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ukiendelea katika Kituo cha Kimataifa cha...
Mkutano wa nishati uliowashirikisha wakuu wa nchi za Afrika unamalizika leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huu muhimu kabisa kwa Tanzania na bara zima la Afrika wenye malengo ya kuwezesha waafrika kupata nishati safi pamoja na mafanikio yake, mkutano huu ulivuruga utaratibu wa kila siku wa...
Mkutano wa Nishati Afrika: Kuwapatia Umeme Watu Milioni 300 ifikapo 2030
Mkutano wa Nishati Afrika ni tukio la kihistoria lililowakutanisha viongozi wa kimataifa, watunga sera, na washirika wa maendeleo ili kuharakisha upatikanaji wa nishati barani Afrika. Ushirikiano kati ya serikali, sekta...
Tumeona marais wa Kiafrika wakienda Ulaya/marekani wanakwenda na kundi kubwa la watu. Wanakwenda kutalii, kufanya shopping and the like.... wamepata nafasi ya kutalii.
Je Mkutano unaoendela Dar, entourage zao zikoje? Wameambatana na watu wangapi, just by casual observation kwa mlio Dar?
Au kwa...
Wakuu
Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama
Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana...
Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??
Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa...
Mitandao ya kijamii imeanza kusambaza kwa kasi taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wa Mnyika. Mjadala umeanza kupamba moto na taarifa za mkutano wa Nishati zimefifishwa.
Je tunaamani na kizazi hiki kinachopenda kujadili na kusambaza taarifa ndogo ndogo kuliko taarifa za maendeleo ya bara la Afrika...
Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania!
Baada ya Jiji la Dar es Salaam ku host Mkutano Mkuu wa Nishati wale Team Dodoma wamefura sana eti Mkutano ungefanyika Dodoma.
Labda tuwaulize tu wale Team Dodoma. Mkutano ungefanyika Dodoma Wageni wangelala wapi? Dodoma Hotel? Domiya? Au pale Rafiki...
Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030.
Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini.
Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
afya
aga khan
dar
dar es salaam
habari
hali
hospital
huduma
huduma za afya
katika
kuhudumia
kutokana
mkutanomkutanowanishati
muhimbili
nishati
uchambuzi
wageni
Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025.
Mkutano huu unaandaliwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
Tanzania imepata fursa na heshima ya kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27-28 Januari, 2025.
Mkutano huo unaandaliwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania, Benki...
Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan
Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
afrika
dkt. samia
endelevu
kuhusu
madini
maendeleo
maendeleo endelevu
maono
matumizi
milioni
milioni 300
mkutanowanishatinishatinishati safi
rais
rais dkt. samia
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
rasilimali
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
ubunifu
ujumbe
umeme
usalama matumizi ya gesi
ushirikiano
waafrika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.