mkutano wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  2. M

  3. R

    Tuliokuwepo tujikumbushe: Mkutano wa Rais Julius Nyere na waandishi wa habari

    Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu. Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi. Sasa akafanya mkutano na waandishi wa habari kusisitiza kuwa Ikulu ni mahali patakatifu. Sasa...
  4. Vichekesho

    Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

    Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa...
  5. Erythrocyte

    Pre GE2025 Morogoro: Rais Samia akumbana na Bendera ya CHADEMA, Ajiegemeza kwenye 4R

    Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro amejithibitishia. Ameuona Moto wa Chadema yeye mwenyewe na amejua kwamba hatutanii, na sasa kishaelewa...
Back
Top Bottom