Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro amejithibitishia.
Ameuona Moto wa Chadema yeye mwenyewe na amejua kwamba hatutanii, na sasa kishaelewa...