Tulishasema humu mara kadhaa kwamba Viongozi wa Nchi hizo hawana uwezo wa kutatua chochote zaidi ya kuiba kura na kusimamia mauaji ya wanasiasa wa upinzani.
Hebu angalia kilichofanyika Kwenye kikao chao cha DSM, haieleweki hata walichokifanya, Najuta kwa mkutano huu kutusababishia foleni bila...
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces...
Wakuu,
Haya ndio maazimio ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu mgogoro wa DRC, na moja ya walichoazimia ni Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC.
Pia soma: Dar: Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC...
Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025.
Rais Samia amewataka viongozi wenzake wa Kikanda kuchukua hatua madhubuti kuhusu hali inayoendelea kuzorota katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, akionya kwamba historia itawahukumu vikali...
Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo Mkutano huo utakuwa chini ya uenyeji wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutanon wa Dharura wa wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Harare Nchini Zimbabwe, leo tarehe 31 Januari, 2025
https://www.youtube.com/live/selwjXLEMCQ?si=VsaQ5QjvugXCzmL3
TANZANIA YAKABIDHIWA UENYEKITI WA SADC ORGAN TROIKA
Mkutano wa Kawaida wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) tarehe 17 Agosti, 2024 umekabidhi jukumu la Unyekiti wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.