Alama za Nyakati ni taarifa za Maono ya Mambo yanayokuja, kuna kila dalili kwamba Joseph Mbilinyi anaandaliwa Jambo kubwa zaidi na Mungu
Huyu kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, ni Mwanasiasa ambaye hahitaji mambo mengi ili kufanikisha jambo lake, hana haja ya Matarumbeta, Mang'oma au...