Sasa hivi sa 4 usiku nampigia simu dogo (binti miaka 17 form 4) hadi sasa hivi anasema bado wapo uwanja wa Taifa( kwa mkapa)
Anasema wamezuiwa kutoka ndani ya uwanja kwa sababu ya usalama wao. Wanaogopa wakiwaruhusu wengine wanaweza kupotea au kukomasaviwa na wahuni( bodaboda) etc.
Uvccm...
Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo lao la kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Uchaguzi huo unatarajia kufanyika nchini kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.