mkutano wa uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UVCCM toeni taarifa kwa wazazi wenye watoto wao walio enda kwa Mkapa leo. Mpaka sasa hivi kuna wanafunzi kibao bado wapo ndani ya uwanja wamezuiwa

    Sasa hivi sa 4 usiku nampigia simu dogo (binti miaka 17 form 4) hadi sasa hivi anasema bado wapo uwanja wa Taifa( kwa mkapa) Anasema wamezuiwa kutoka ndani ya uwanja kwa sababu ya usalama wao. Wanaogopa wakiwaruhusu wengine wanaweza kupotea au kukomasaviwa na wahuni( bodaboda) etc. Uvccm...
  2. B

    Pre GE2025 Usafiri wa kwenda Morogoro umekuwa wa shida leo Mbezi Stendi ya Magufuli jijini Dar kutokana na madai ya mabasi kukodishwa na UVCCM

    Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo lao la kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za mitaa. Uchaguzi huo unatarajia kufanyika nchini kote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…