WASIFU WA KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA SACP. MZEE RAMADHANI NYAMKA CGP
Mteule, SACP. Mzee Ramadhani Nyamka, alizaliwa mwaka 1964 Mkoani Tanga, Wilaya ya Tanga Mjini na alipata elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi Muhimbili mwaka 1973 hadi 1979, na alihitimu elimu ya...