Diwani wa Kata ya Themi wilaya ya Arusha mjini Mkoani Arusha Petro Lobora wakati wa kikao cha Baraza la madiwani bajet ya halmashauri kwa mwaka 2025-2026 alisimama na kuzungumza kwa niaba ya madiwani kwamba Mbunge walio nae Mrisho Mashaka Gambo hatoi ushirikiano kwa madiwani pindi anapohitajika...