Ee bwana wanyamwezi walikuwa na huyu mzee ambaye kwa sasa ni MarehemU, alikuwa jembe na nusu.
Huyu mzee alikuwa awe chief baada ya baba yake Andrea Sazia, lakini uhuru ndipo ulipatikana na hivyo uchief ukawekwa pembeni, huyu mzee alitokea familia ya kitawala huko kwa Wanyamwezi walioshi...