Jana nimemsikia mkuu wangu kaka Yangu msemaji wangu wakimhoji kuhusu UWANJA
Simple akasema kaulizen tff waliopokea wale waliokuja kukagua wakatangaza kuufungia
Nirudi kwenye madaa HAPO juu
Nimemsikia mkuu WA MKOA MWANZA akilalamika UWANJA umefungiwa
Akaita viongozi WA UWANJA JE Kuna mtu...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, ameshtushwa kwa kufungiwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuuagiza Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza MZFA kuiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kuja kukagua Uwanja na waainishe mapungufu yaliyosababisha Uwanja kufungiwa.